Programu na majukwaa
Tovuti, programu za simu na mifumo ya kuendesha biashara na taasisi.
Kampuni ya teknolojia ya Kenya na Afrika
SIONA Technologies inabuni, inajenga, inalinda na kuendesha programu, majukwaa ya kidijitali na miundombinu ya teknolojia kwa biashara, taasisi na jamii nchini Kenya na kote Afrika.
Zungumza nasiTunachofanya
Tovuti, programu za simu na mifumo ya kuendesha biashara na taasisi.
Wasaidizi na mifumo inayorahisisha kazi za kila siku, chini ya usimamizi wa watu.
Ulinzi wa mifumo, data na utambulisho, kuanzia usanifu hadi uendeshaji.
Miundombinu thabiti na taarifa zinazosaidia viongozi kufanya maamuzi.
Bidhaa zetu
Msaidizi wa biashara kwenye WhatsApp anayerekodi mauzo, matumizi na risiti kupitia mazungumzo ya kawaida, kwa Kiswahili na Kiingereza.
TembeleaJukwaa la elimu kwa shule za Kenya linalounganisha usimamizi wa shule, walimu, wanafunzi na wazazi katika mfumo mmoja.
TembeleaKurasa nyingine za tovuti hii zinapatikana kwa Kiingereza. Read this site in English.